Thursday, May 14, 2015

GETTING TO KNOW BURUNDI/ IJUE NCHI YA BURUNDI KUFUATIA VURUGU ZA KISIASA ZINAZOENDELEA SAIZI

GETTING TO KNOW BURUNDI/ IJUE NCHI YA BURUNDI KUFUATIA VURUGU ZA KISIASA ZINAZOENDELEA SAIZI

BURUNDI ni nchi ndogo ambayo iko katika eneo la Maziwa Makubwa ya Afrika. Burundi imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania upande wa mashariki, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi.
Burundi ni mwanachama wa Umoja wa Afrika na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. 
Burundi ilijipatia uhulu wake mwaka 1962 kutoka kwa wajerumani chini ya kiongozi Mwami Mwambutsa IV, a Tutsi. In 1965

Burundi ni nchi iliyo shuhudia mabishano makali baina ya watutsi walio wachache na wahutu walio wengi
Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yalianza mwaka 1993 na inakadiliwa Takribani watu 300,000 waliuwawa katika machafuko hayo
Hata hivyo juhudi za Mataifa mbali mbali na Juhudi za wana Burundi zilifanikiwa kwa kiwango kikubwa hali kukawa na makubaliano ya amani na kuunda serikali ya pamoja mnamo mwaka 2001 na Uchaguzi wa kwanza ulifanyika mwaka 2005 kama Nguzo muhimu sana kwa Demokrasia na kundi la wapiganaji wa zamani Wahutu likaibuka kuwa Washindi na Ndipo walipo mteua Pierre Nkurunzinza kuwa Rais 

Nkurunzinza Rais wa Burundi alitangaza mwezi ulio pita nia yake ya kuwania Urais mara ya tatu kitu kilicho pingwa vikali na baadhi ya wanasiasa nchini humo na watu walijitokeza katika maandamano wakidai ni Ukiukwaji wa Katiba ya Nchi hiyo inayo mtaka Rais kugombea urais kwa Mihula miwili tu
Kufuatia maandamano hayo na mambo Rais huyo alipinduliwa madarakani na wanajeshi walio kuwa na itikadi tofauti na yeye chini ya Maj Gen Godefroid Niyombare alie ongoza mapinduzi hayo tarehe 13/05/2015. Baadhi ya Taarifa zilizo nifikia ni kwamba Raisi huyo alikimbilia nchini Tz kwa mda na Baadae alilejea nchini humo
Kinachoendelea mpaka sasa ni Makabiliano makali kati ya Askari wanao Mtii kiongozi huyo aliye endesha Mapinduzi na Askari wanao mtii Rais Pierre Nkurunzinza

Twende pamoja ili uweze kupata Matukio picha na video juu ya kinachoendelea Burundi na Mambo mengine Duniani kiujumla Like our facebook page Technical Solution vile vile usisahau ku subscribe or follow by email for current updates

No comments:

Post a Comment